HUDUMA ZINAVYOPATIKANA
Huduma hizi hutolewa Halmashauri ya Wilya ya Handeni kama ifuatavyo.
• Kupata ushauri wa moja kwa moja toka ofisi ya Kilimo, Umwagiliaji na ushirika katika Manispaa
• Kupata ushauri wa ana kwa ana toka kwa wataalam wa wilayani,Tarafa, Kata au kwenye Vijiji katika shamba la mkulima
• Kupata ushauri toka ofisi ya kata au ya mtaa
• Mafunzo kwa njia ya mikutano ( warsha na semina mbalimbali)
• Mafunzo kwa njia ya vikundi kuongea na vikundi
. Kutoa ushauri wa kitaalamu kuhusu kilimo Bora na namna ya kulima.
Bomani Handeni
Postal Address: 355 Handeni
Telephone: 0272977402
Mobile: 0755651840
Email: ded@handenidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Handeni . Haki zote zimehifadhiwa