• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Handeni District Council
Handeni District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na Vijana
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Mazingira na Udhibiti taka ngumu
    • Vitengo
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ardhi na Maliasili
    • Kilimo Umwagiliaji na Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Utamaduni na Utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
    • Kilimo
    • Elimu
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Jarida la Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Afya

JUKUMU LA IDARA YA AFYA NI KUTOA HUDUMA KWA JAMII, HUDUMA AMBAZO ZIMEGAWANYIKA KATIKA MAKUNDI YAFUATAYO

•    Afya Kinga;  kukinga jamii dhidi ya magonjwa

•    Tiba: kutoa huduma za tiba kwa magonjwa

•    Ukuzaji wa Afya/Elimu ya Afya: Kuijengea jamii uelewa na kuishi maisha yanayopunguza uwezekano wa kupata maradhi mbalimbali.

•    Rehabilitation: Kuwezesha mtu mwenye ulemavu wa kimaumbile/akili uliosababishwa na magonjwa/ugonjwa aweze kuishi maisha sawa au karibu sawa na wenzake.

•    Lishe: Inalenga kukuza uelewa na kuishi maisha ambayo yanazingatia kanuni za lishe bora.

•    Ustawi wa jamii: Kuwezesha jamii kupata haki sawa za kuishi katika Nyanja muhimu au haki za msingi za kibinadamu.


Idara inahakikisha huduma zinapatikana kwa kufanya yafuatayo kama idara katika Halmashauri ya Wilaya;

1.    Kumshauri Mkurugenzi kwa masuala yote ya Afya katika Wilaya /Halmashauri

2.    Kusimamia masuala yote ya kitalaamu ya afya kuanzia ngazi ya Wilaya/ Halmashauri mpaka kwenye jamii/ngazi ya kaya.

3.    Usimamizi wa huduma za afya ndani ya Wilaya/ Halmashauri

4.    Kusimamia na kuhakikisha huduma bora za afya na matibabu zinatolewa katika vituo vyote vya kutolea huduma za afya katika Halmashauri kuanzia ngazi ya Zahanati, vituo  vya afya hadi Hospitali

5.    Kuandaa taarifa zote za Afya za Wilaya/Halmashauri

6.    Kusimamia Rasilimali zote za afya , yaani watushi, fedha, vifaa, majengo na dawa katika Halmashauri ngazi zote.

7.    Kusimamia na kushauri katika  kuandaa na utekelezaji wa mipango ya Afya ya Halmashauri kwa kushirikiana na viongozi wa Wilaya/Halmashauri, Hospitali, Vituo vya Afya na Zahanati pamoja  na wadau mbalimbali

 AFYA KINGA

    Idara imeendelea kutekeleza majukumu mbalimbali yanayolenga kuwakinga wananchi na magonjwa ya kuambukiza. Majukumu hayo ni pamoja na:

    Ukaguzi wa nyumba za kuishi na  majengo ya biashara kama vile nyumba za kulala wageni,majengo ya kutengeneza na kuuza vyakula ili kuondoa machukizo yanayoweza kuhatarisha afya ya binadamu.

      1. Utoaji wa elimu ya afya kwa umma kuhusu masuala mbalimbali ya afya.

      2. Utoaji wa chanjo kwa magonjwa ya kuambukiza kwa wajawazito na watoto

      3. Usimamizi wa afya na usalama mahala pa kazi

      4. Usimamizi wa usafi wa Mazingira.


Tangazo

  • Tangazo la Kuitwa Kazini June 15, 2018
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA SHULE ZA SEKONDARI HANDENI VIJIJINI 2021 December 17, 2020
  • Kuitwa Kwenye Usaili June 04 2018 May 30, 2018
  • Matokeo ya Darasa la Saba Shule ya kwanza hadi ya mwisho December 28, 2018
  • Angalia zote

Habari za sasa

  • Kamati ya Fedha, Uchumi na Mipango yafanya ziara ya kukagua miradi inayotekelezwa na Halmashauri.

    February 10, 2021
  • Mkuu wa Wilaya Handeni akabidhi vyandarua kwa wananchi.

    December 28, 2020
  • Mkuu wa Wilaya ya Handeni afanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo.

    September 30, 2020
  • Katibu tawala afungua siku ya mkulima Handeni

    September 24, 2020
  • Angalia zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

ALIYOZUNGUMZA MKIMBIZA MWENGE KITAIFA MARA BAADA YA KUFUNGUA BOHARI NDOGO YA DAWA HALMASHAURI YA WILAYA YA HANDENI
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TASAF
  • Fursa za Uwekezaji

Kurasa Mashuhuri

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Tume ya Ajira
  • Ikulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bomani Handeni

    Postal Address: 355 Handeni

    Telephone: 0272977402

    Mobile: 0755651840

    Email: ded@handenidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Handeni . Haki zote zimehifadhiwa