1. KUJAZA FOMU YA MAOMBI YA LESENI YA BIASHARA
2. AMBATANISHA NA HATI YA MLIPA KODI TIN NO.
3. KUWA NA KIBALI CHA MLIPA KODI (TAX CLEARENCE)
4. AMBATANISHA NAKALA YA KUANDIKISHA JINA LA BIASHARA (REG. CERTIFICATION)
5. KUSAJILIWA KWENYE MTANDAO WA SERIKALI ZA MITAAA
6. KULIPIA ADA YA LESENI BENKI
7. KUPEWA STAKABATHI YA KIELEKRONIKI
8. KUPEWA LESENI YA BIASHARA
Bomani Handeni
Postal Address: 355 Handeni
Telephone: 0272977402
Mobile: 0755651840
Email: ded@handenidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Handeni . Haki zote zimehifadhiwa