Imerushwa: April 26th, 2017
Wananchi Wilayani Handeni wametakiwa kutilia mkazo suala la kuwapeleka watoto kupata chanjo mara zinapotangazwa ili kuendana na msemo wa kinga ni bora kuliko tiba.
Rai hiyo ilitolewa wa...
Imerushwa: April 21st, 2017
Halmashauri ya Wilaya ya Handeni imezindua jukwaa la uwezeshaji wanawake kiuchumi kwa wanawake wa Wilaya ya Handeni kwenye ukumbi wa maount Ilulu uliopo Kabuku mjini lenye ujumbe wa “Wezesha wan...
Imerushwa: April 7th, 2017
Wananchi Wilayani Handeni wameaswa kupanda miti kwa wingi hususani ya kibiashara ili kujikwamua kiuchumi badala ya kuvuna miti kwaajili ya uchomaji mkaa na mbao.Rai hiyo ilitolewa na Katibu Tawa...