Ameanza siasa rasmi mwaka 2005 kwa kuwa Diwani, Mwaka 2007 alikuwa makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni. Mwaka 2010 amekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni mpaka sasa na pia, ni mwenyekiti ALAT Mkoa wa Tanga na Mbunge kamati tendaji ALAT Taifa.
Malengo yake kwa Halmashauri.
kuongeza mapato ya ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni kwa kutoka 1.3Bilioni inayokusanywa sasa walau hadi kufikia 3 Bilioni ili kuwezesha Halmashauri kujiendesha kwa kujitegemea kwa shughuli zake za ndani.
Kuboresha mfumo mzuri wa kiutendaji baina ya watendaji wa Halmashauri na wananchi tunaowahudumia.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Handeni . Haki zote zimehifadhiwa