Halmashauri ya Wilaya ya Handeni imebarikiwa na kilimo cha mazao ya Chakula na mazao ya Biashara.
MAZAO YA CHAKULA;
Mahindi, Mihogo, Maharage, Mtama na Ndizi.
MAZAO YA BIASHARA.
Matunda aina ya Machungwa na Maembe, Alizeti, Katani, Pamba, Nazi na Kunde
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Handeni . Haki zote zimehifadhiwa