Utangulizi:
Mahindi ni zao muhimu la chakula hapa nchini.Mbinu muhimu za uzalishaji wa zao hili ni kama ifuatavyo.
Aina za mahindi.
Zipo aina mbali mbali za mahindi ambazo hustawi hapa wilayani nazo ni: TMV-1, Staha, Stuka, kilima, kito na mahindi jamii ya chotara kama kitale, SC 513, 627, na 407
Utayarishaji wa shamba.
Chagua eneo lenye rutuba na anza kutayarisha shamba mapema. Utayarishaji hufanywa kwa jembe la mkono au matrekta na ardhi hutifuliwa kiasi cha sm15-30 au kutumia matuta.
kwa maelezo zaidi soma hapa
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Handeni . Haki zote zimehifadhiwa