Huduma zinazotolewa hapa ni pamoja na:
1.kutoa elimu na ushauri wa ufugaji bora wa mifugo.
2. kutoa kinga na tiba kwa mifugo.
3. kuboresha kuku asilia kwa kutumia majogoo bora na ya kisasa.
4. kuboresha Ng'ombe wa asili kwa njia ya uhamilishaji.
5. kupandikiza vifaranga vya samaki katika mabwawa ya vikundi vyq ufugaji samaki.
Handeni
Postal Address: 355 Handeni
Telephone: 0272977402
Mobile:
Email: ded@handenidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Handeni . Haki zote zimehifadhiwa