Katibu Mkuu wa Wizara ya Mendeleo ya Jamii, Jinsia Wananwake na Makundi Maalum Dkt. Zainabu Chaula amefanya ziara ya siku tatu Wilaya ya Handeni kwa lengo la kukagua maendeleo ya jamii kwenye Wilaya pamoja na Kijiji cha Msomera ili kuwa Kijiji cha mfano Tanzania hii.
Dkt. Zainabu Chaula amesema kuwa Wizara ya Maendeleo inahakikisha kwamba jamii inakuwa na Maendeleo pamoja na usatawi, hivyo ziara hii ni ya kimkakati ili kila mtu awe balozi kwenye kuyasemea mazuri ya yanayofanywa na Serikali na kuyachukua malengo ya kimkatakati kwenye eneo lake.
Dkt. Zainabu Chaula, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mendeleo ya Jamii, Jinsia Wananwake na Makundi Maalum akiongea na wataalam wa Halmashari ya Handeni.
Bw. Amon Mpanju (aliyevaa Miwani) Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Wanawake, Jinsia na Mkundi Maalum.
Makamu Mwenyekiti wa Halamashauri ya Handeni, Mhe. Jasmini Paul akimshukuru Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Wanawake, Jinsia na Mkundi Maalum.
Bi. Rechel Mbelwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Handeni . Haki zote zimehifadhiwa