• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Handeni District Council
Handeni District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na Vijana
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Mazingira na Udhibiti taka ngumu
    • Vitengo
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ardhi na Maliasili
    • Kilimo Umwagiliaji na Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Utamaduni na Utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
    • Kilimo
    • Elimu
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maendeleo ya Jamii
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Mfuko wa Jimbo
    • Ratiba ya vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Jarida la Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MKUU WA MKOA AMEKITAKA CHUO CHA JESHI LA ZIMAMOTO KUDUMISHA USHIRIKIANO NA WANANCHI ILI KUIMARISHA ULINZI NA USALAMA.

Imerushwa: October 25th, 2017

Mkuu wa Mkoa wa Tanga MH.  Martine Shigella Jana ametembelea chuo cha Jeshi la  zimamoto kilichopo Kijiji cha  Chogo Kata ya Kabuku Wilayani Handeni na kuwataka kudumisha ushirikiano baina ya jeshi na wananchi katika kuimarisha ulinzi na usalama. 

 Mkuu wa Mkoa ametembelea miundombinu ya Jeshi hilo la zimamoto ambapo kwa sasa Hakuna mafunzo yanayoendelea, maeneo aliyotembeleea ni Bwalo la Jeshi, kituo cha polisi,  zahanati ya chogo na jiko la kupikia chakula. 

 Katika Ziara hiyo Mkuu wa Mkoa alipokelewa na mwenyeji wake Mkuu wa Wilaya ya Handeni MH Godwin Gondwe , wataalamu mbalimbali na Kamati ya ulinzi na usalama.


Image may contain: 2 people, people sitting and people standing

Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mh. Martine Shigella Kipata maelezo mafupi kutoka kwa Bakari Mrisho mkuu wa chuo cha Jeshi la zimamoto

Image may contain: 1 person, standing

Mkuu wa Mkoa wa Tanga akifuatiwa na mkuu wa Wilaya ya Handeni wakitoka kuangalia bwalo la chuo hicho.

Image may contain: one or more people and people standing

Mkuu wa mkoa na viongozi mbalimbali apikata melezo mafupi kwenye eneo la kupikia chakula.

  Image may contain: 3 people, people standing

Mkuu wa Wilaya ya Handeni Mh.Godwin Gondwe akifuatiwa na  mkuu wa Mkoa wa Tanga Mh. Martine Shigella wakipata taarifa ya zahanati ya chogo.

Image may contain: one or more people, people standing, sky, outdoor and nature 

Mkuu wa mkoa na viongozi wakiwa kwenye ziara.







LikeCommentShare


Tangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO KWA WALIOFAULU USAILI KATIKA NAFASI ZA MWENDESHAJI WA KIFAA CHA BAYOMETRIKI NA AFISA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI February 20, 2025
  • Angalia zote

Habari za sasa

  • HANDENI DC IMEFANYA KIKAO CHA BARAZA KWA ROBO YA NNE YA MWAKA 2023/2024

    August 12, 2024
  • WANAWAKE HANDENI WAMPONGEZI DKT. SAMIA

    August 09, 2024
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA TANGANYIKA

    August 06, 2024
  • KUPITIA MAPATO YA NDANI, HANDENI IMETEKELEZEKA MIRADI KEDEKEDE

    October 23, 2023
  • Angalia zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amalizia ujenzi wa zahanati ya Kijiji cha Kwedikwazu Mashariki.
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TASAF
  • Fursa za Uwekezaji

Kurasa Mashuhuri

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Tume ya Ajira
  • Ikulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Handeni . Haki zote zimehifadhiwa