Imerushwa: September 4th, 2019
Baraza la Madiwani Halmashauri ya wilaya limeridhia kufukuzwa kazi kwa watumishi wa Halmashauri 45 kwa makosa mbalimbali ya kiutumishi ikiwemo kutoa taarifa za uongo kwa Mwajiri, Kukosa sifa ...
Imerushwa: August 6th, 2019
Kampeni ya usafi wa mazingira (National Sanitation Campaign) katika halmashauri ya wilaya ya Handeni ambayo ilishindanisha shule za Msingi na Sekondari imefikia kilele.
Katika kufikia kile...
Imerushwa: July 20th, 2019
Mkuu wa wilaya ya Handeni Mh Godwin Gondwe amewataka wananchi wilayani Handeni mkoani Tanga kujiunga na mfuko wa bima ya matibabu (CHF) iyoboreshwa ambapo kwa shilingi elfu 30, jumla ya watu 6 kutoka ...