• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Handeni District Council
Handeni District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na Vijana
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Mazingira na Udhibiti taka ngumu
    • Vitengo
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ardhi na Maliasili
    • Kilimo Umwagiliaji na Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Utamaduni na Utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
    • Kilimo
    • Elimu
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maendeleo ya Jamii
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Mfuko wa Jimbo
    • Ratiba ya vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Jarida la Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Ujenzi na Zimamoto


IDARA YA UJENZI

Idara ya ujenzi ni mojawapo ya  idara kuu zinazounda Halmashauri ya wilaya ya  Handeni. Idara ya Ujenzi ni Idara iliyoundwa katika mamlaka ya Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa (TAMISEMI) kwa madhumuni ya

1.    Kusimamia na kutengeneza barabara za Halmashauri ya Wilaya ya Handeni,

2.    Kusimamia Ujenzi wa majengo ya Serikali na kutoa ushauri wa namna iliyobora ya ujenzi huo; pia miradi ya Mashirika yasio ya ki          – Serikali pamoja

3.     kutoa ushauri wa ujenzi wa nyumba bora kwa wananchi ,

4.    Kusimamia matengenezo ya magari, mitambo na nishati ya umeme kwenye majengo ya Serikali katika Halmashauri ya wilaya.


MUUNDO WA IDARA YA UJENZI


 VITENGO VYA IDARA YA UJENZI

IdarayaUjenziimeundwanavitengovifuatavyo:

1.    Kitengo cha Barabara

2.    Kitengo cha Majengo

3.    Kitengo cha Magarinamitambo

4.    Kitengo cha Umeme


 WATUMISHI WA IDARA YA UJENZI.

Idara ya Ujenzi inaundwa na watumishi wa fuatao kwasasa:


1.    Mhandisi wa Ujenzi wa Wilaya ya Handeni (District Engineer) - mmoja


2.    Watumishi wenye taaluma ya uhandisi (Engineers) - wawili

i)    Barabara (Civil works mmoja)

ii)    Majengo (Building mmoja)


3.    Watumishi wenye taaluma ya fundi sanifu(Technicians)

i)    Barabara (Civil works) - mmoja

ii)    Majengo (Buildings) - wawili

iii)    Magari (Mechanical) -mmoja

iv)    Seremala (Carpenter) -mmoja

v)    Fundi ujenzi (masonry) - mmoja

4.    Watumishi wenye taaluma ya udereva

i)    Dereva -mmoja


 BARABARA

MTANDAO WA BARABARA

Halmashauri ya Wilaya ya Handeni inamtandao wa barabara wenye jumla ya urefuwa Km 820 ambazo zimegawanyika kama ifuatavyo:

-    Km 91 ni barabara kuu (kitaifa) ni zalami na zinahudumiwa na TANROADS

-    Km 166 ni barabara za Mkoa (km 111 lamina km 55 changarawe) hizipia zinahudumiwa na wakala wa barabara TANROADS

-    Na  km 563 ni barabara za wilaya na vijiji ambazo zinahudumiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Handeni.


 HALI YA BARABARA KWA UJUMLA

Barabara zote za wilaya na vijijini ni za udongo na changarawe kidogo. Hali ya barabara kwa kiasi kikubwa ni ya wastani kwani baadhi ya barabara hujifunga kwa muda wakati wa mvua, hasa maeneo korofi, pia baadhi bado hazijaimarishwa kiasi cha kuweza kubeba magari mazito  wakati wa mvua.

Halmashauri ya Wilaya ya Handeni kupitia Idara ya ujenzi huzifanyia matengenezo barabara za Halmashauri na vijiji kwa kutumia fedha za mfuko wa barabara kama ifuatavyo:-

i)    Matengenezo ya kawaida (Routine maintenance works)

ii)    Matengenezo ya sehemu korofi (Spot improvement works)

iii)    Matengenezo ya muda maalumu (Periodic maintenance works)

iv)    Ukarabati wa madaraja na makalvati(Bridges and culvert maintenance)


MAFANIKIO

Halmashauri ya Wilaya ya Handeni kupitia Idara ya Ujenzi imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kukarabati/kufungua barabara kutoka makao makuu ya Wilaya hadi makao makuu ya Vijiji vya Halmashauri kwaajili ya kuboresha huduma katika sekta ya usafiri na usafirishaji. Jumla ya km 156 zimewekwa kifusi na zinapitika kwa kipindi chote cha mwaka.


 MAJENGO.

Idara ya Ujenzi husimamia ukarabati  na ujenzi wa majengombalimbali katika Halmashauri ya Wilaya ya Handeni kamaifuatavyo:

-    Nyumba za waganga, zahanati na vituo vya afya

-    Nyumba za walimu wa shule za msingi na sekondari

-    Ujenzi wa madarasa katika shule za msingi na sekondari

-    Ujenzi/Ukarabati wa Ofisi za Idara mbalimbali za Halmashauri

Pia idara hutoa ushauri wa namnailiyo bora ya ujenzi wa majengo katika miradi ya Mashirika yasio ya ki – Serikali pamoja na kutoaushauri waujenzi wa nyumba bora kwa wananchi.


 MAGARI NA MITAMBO.

Idara ya Ujenzi huyafanyia matengenezo madogomadogo magari na mitambo ya serikali katika karakana yake iliyopo ujenzi, pia huratibu na kukagua magari yote ya Halmashauri kwaajili ya matengenezo mbalimbali kupitia mtaalamu wa magari wa Idara. Magari yote ya Halmashauri hukaguliwa kwanza na mtaalamu wa magari wa idara kabla ya kupelekwa kwa wazabuni kwaajili ya matengenezo  makubwa.


 UMEME

Idara ya ujenzi pia kuna kitengo cha umeme.Kitengo hiki kupitia mtaalamu wa idara hufanya shughuli za ukarabati na uwekaji wa mfumo wa Umeme katika majengo yote ya Halmashauri na serikali yaliyopo hapa wilayani.

 wa mfumo wa Umeme katika majengo yote ya Halmashauri na serikali yaliyopo hapa wilayani.

Tangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HANDENI DC June 04, 2025
  • Angalia zote

Habari za sasa

  • HANDENI DC IMEFANYA KIKAO CHA BARAZA KWA ROBO YA NNE YA MWAKA 2023/2024

    August 12, 2024
  • WANAWAKE HANDENI WAMPONGEZI DKT. SAMIA

    August 09, 2024
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA TANGANYIKA

    August 06, 2024
  • KUPITIA MAPATO YA NDANI, HANDENI IMETEKELEZEKA MIRADI KEDEKEDE

    October 23, 2023
  • Angalia zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amalizia ujenzi wa zahanati ya Kijiji cha Kwedikwazu Mashariki.
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TASAF
  • Fursa za Uwekezaji

Kurasa Mashuhuri

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Tume ya Ajira
  • Ikulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Handeni . Haki zote zimehifadhiwa