IDARA YA UTUMISHI NA RASILIMALI WATU.
MAJUKUMU YA IDARA YA UTUMISHI NA RASILIMALI WATU.
1. Kusimamia shughuli za kila siku zinazofanywa na Idara.
2. Kuajiri watumishi wa ajira mpya
3. Kushughulikia haki na stahiki za watumishi
4. Kuandaa taarifa mbalimbali za Idara.
5. Kuandaa na kuratibu vikao vya kisheria ngazi ya Halmashauri, Vijiji na Kata.
6. Kuandaa bajeti ya mishahara ya watumishi.
7. Kushirikiana na taasisi zingine katika masuala mbalimbali ya kiofisi.
8. Kusimamia maadili ya watumishi kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Miongozo iliyopo.
9. Kuandaa na kusimamia mpango wa mafunzo kwa watumishi wakiwa nje na ndani ya vituo vya kazi.
Handeni
Postal Address: 355 Handeni
Telephone: 0272977402
Mobile:
Email: ded@handenidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Handeni . Haki zote zimehifadhiwa