Kwa robo ya kwanza wa Mwaka wa Fedha 2023/2024, Kupitia Mapato ya Ndani Halmashauri ya Wilaya ya Handeni imefanikiwa kutekeleza miradi kwa upande wa Afya, Elimu na kutoa mikopo isiyokuwa na riba inayotolewa na Halmashauri kwa vijana, wazee na watu wenye ulemavu
Halmashauri ya Wilaya ya Handeni inaendelea kuipatia Jamii maisha bora kiuchumi kwa kutumia vizuri Rasilimali zilizopo kwa kidumisha utawala bora ili kuboresha maisha ya Jamii.
Hii ndiyo dhamira yetu Halmashauri ya Handeni kuwahudumia wananchi.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Handeni . Haki zote zimehifadhiwa