• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Handeni District Council
Handeni District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na Vijana
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Mazingira na Udhibiti taka ngumu
    • Vitengo
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ardhi na Maliasili
    • Kilimo Umwagiliaji na Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Utamaduni na Utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
    • Kilimo
    • Elimu
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maendeleo ya Jamii
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Mfuko wa Jimbo
    • Ratiba ya vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Jarida la Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Teknolojia, Habari na Mawasiliano

KITENGO CHA TEHAMA NA UHUSIANO

UTANGULIZI

Halmashauri ya Wilaya ya Handeni ni miongoni mwa Halmashauri zinazotekeleza muundo mpya wa Halmashauri za Wilaya ambao uliidhinishwa 08.07.2011 na Waziri Mkuu Mh Mizengo P Pinda. Kwa sasa kitengo kina watumishi watatu ambao ni Afisa habari na  Afisa TEHAMA wawili. Toka kuanzishwa kwake hadi sasa kitengo hiki kimejitahidi kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa ili kuweza kufanikisha lengo namba 9 la Serikali ambalo ni kuimarisha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano. Jukumu kubwa la kitengo hiki ni Kusimamia masuala yote ya Habari na Mawasiliano ya Halmashauri halikadhalika kusimamia mifumo yote ya Halmashauri. Kitengo hiki kimegawanyika katika sehemu kuu mbili ambazo ni:

•    Habari na uhusiano

•    TEHAMA

Majukumu ya Kitengo/ Huduma

•    Kuandaa miadi ya mkurugenzi kukutana na kuongea na vyombo mbalimbali vya habari

•    Kutoa ufafanuzi kwa vyombo vya habari na jamii kwa masuala mbalimbali yanayohusiana na manispaa kwa kufuata maelekezo ya mkurugenzi

•    Kuandaa machapisho mbalimbali kwa ajjili ya kuhabarisha jamii kuhusiana na masuala mbalimbali ya halmashauri (machapisho kama vile vipeperushi, jarida, )

•    Kuandaa mkutano wa waandishi wa habari (Press Conference) baina ya mkurugenzi/mstahiki meya na waandishi wa habari.

•    Kuratibu na kusimamia waandishi wa habari katika shughuli mbalimbali za Halmashauri kama vile baraza.

•    Kuhakikisha Halmashauri inasajili na kutumia barua pepe za serikali (Government Mailing System)  kwa ajili ya kutuma na kupokea taarifa za kiserikali.

•    Kusimamia mawasiliano ya ndani na nje ya ofisi (Internal and External Communication)

•    Kusimamia Mifumo yote ya Halmashauri,ifuatayo ni mifumo inayosimamiwa

•    Mfumo wa Hcmis(Lawson)

•    Mfumo wa Rasilimali Fedha (Epicor)

•    Mfumo wa Prem

•    Mfumo wa Mapato ( Lgrcis)

•    Kusimamia Mashine za kieletroniki  zinazokusanya Mapato(Pos Machine)

Kusimamia Matengenezo yote ya vifaa vya Tehama kwa kuhakikisha vifaa vyote  vipo katika hali nzuri

Tangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO KWA WALIOFAULU USAILI KATIKA NAFASI ZA MWENDESHAJI WA KIFAA CHA BAYOMETRIKI NA AFISA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI February 20, 2025
  • Angalia zote

Habari za sasa

  • HANDENI DC IMEFANYA KIKAO CHA BARAZA KWA ROBO YA NNE YA MWAKA 2023/2024

    August 12, 2024
  • WANAWAKE HANDENI WAMPONGEZI DKT. SAMIA

    August 09, 2024
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA TANGANYIKA

    August 06, 2024
  • KUPITIA MAPATO YA NDANI, HANDENI IMETEKELEZEKA MIRADI KEDEKEDE

    October 23, 2023
  • Angalia zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amalizia ujenzi wa zahanati ya Kijiji cha Kwedikwazu Mashariki.
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TASAF
  • Fursa za Uwekezaji

Kurasa Mashuhuri

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Tume ya Ajira
  • Ikulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Handeni . Haki zote zimehifadhiwa