Thursday 25th, April 2024
@Kwasunga
Maadhimisho ya siku ya mtoto Afrika kwa Halmashauri ya Wialaya ya Handeni yatafanyika katika Kata ya Kwasunga,Tarafa ya Kwamsisi-Handeni ambayo itasimamiwa na Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya jamii na Kitengo cha Ustawi wa jamii
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Handeni . Haki zote zimehifadhiwa