• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Handeni District Council
Handeni District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na Vijana
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Mazingira na Udhibiti taka ngumu
    • Vitengo
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ardhi na Maliasili
    • Kilimo Umwagiliaji na Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Utamaduni na Utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
    • Kilimo
    • Elimu
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Jarida la Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Fedha na Biashara

IDARA YA FEDHA NA BIASHARA.

Idara ya Fedha na Biashara ina majukumu yafuatayo yaliyogawanyika kama ifuatavyo;

MAJUKUMU YA IDARA YA FEDHA

•    Kushauri Halmashauri kwenye maswala yote ya Fedha

•    Kuandaa makisio ya mwaka ya mapato na matumizi kwa kushirikiana na idara zingine zilizopo Halmasauri

•    Kuandaa Report za kawaida kwa Halmashauri kuhusiana na maendeleo ya matumizi halisi na Mapato kwa kulinganisha na Makisio ya Mwaka husika,na kutoa mapendekezo ya namna ya kutumia kulingana na kipato kilichopo

•    Kuandaa Hesabu za Mwisho wa Mwaka na kutoa taarifa

•    Kuhakikisha ufanisi wa udhibiti wa ndani katika kufuata sheria na taratibu za fedha,ikiwemo kuandika na kuzipitia mara kwa mara taratibu za fedha,kuziwasilisha kwenye kikao cha kamati ya fedha,uongozi na mipango kwa ajili ya kuidhinishwa na kugawanywa kwa wakuu wa idara

•    Kufundisha Maswala yote yanayohusu matumizi mazuri ya Fedha kwa Halmashauri.


KITENGO CHA BIASHARA.


1.    Shughuli za Seksheni ya Biashara viwanda na masoko
2.    Sekisheni hii ni miongoni mwa nyenzo muhimu ndani ya Halmashauri ya Handeni katika kutekeleza  Dira na Dhima ya                          Halimashauri.
3.    Majukumu makubwa ya Seksheni.
4.    Kusimamia na kuratibu shughuli za biashara ndani ya Halmashauri,kutafuta masoko ya bidhaa zinazozalishwa ndani ya                        wilaya,kutoa taarifa za masoko kwa wafanyabiashara na wazalishaji wa ndani na nje
5.    Kufanya ukaguzi wa maeneo ya biashara,
6.    Kutoa leseni za Biashara na vileo,
7.    Kuandaa takwimu za Biashara na Masoko,
8.    Kuratibu na kusimamia shughuli za uwekezaji.

Huduma mbalimbali zinazotolewa na zinazopatikana idara ya Fedha na Biashara ni;


•    Elimu ya mlipa kodi ; Idara inatoa elimu hii kwa njia ya mbalimbali ikiwemo vipeperushi, matangazo kwenye redio,Televisheni na            magazeti.
•    Huduma za malipo  mbalimbali ya watumishi na watoa huduma katika Halmashauri.
•    Leseni za biashara mbalimbali katika Halmashauri zinapatikana katika kitengo cha biashara.
•    Vitendea kazi vya kukusanyia mapato kama stakabadhi za kupokelea mapato, mashine za kielektroniki(POS Machine)
•    Ukusanyaji wa vyanzo vyote vya mapato ya halmashauri


Tangazo

  • Tangazo la Kuitwa Kazini June 15, 2018
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA SHULE ZA SEKONDARI HANDENI VIJIJINI 2021 December 17, 2020
  • Kuitwa Kwenye Usaili June 04 2018 May 30, 2018
  • Matokeo ya Darasa la Saba Shule ya kwanza hadi ya mwisho December 28, 2018
  • Angalia zote

Habari za sasa

  • Mkurugenzi azindua kiwanda cha kufyatulia matofali.

    March 17, 2021
  • Makamu wa Rais afanya ziara Handeni.

    March 16, 2021
  • Mkurugenzi Mtendaji awapongeza wanawake kwenye Maadhimisho ya siku ya wanawake duniani.

    March 08, 2021
  • Kamati ya Fedha, Uchumi na Mipango yafanya ziara ya kukagua miradi inayotekelezwa na Halmashauri.

    February 10, 2021
  • Angalia zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

ALIYOZUNGUMZA MKIMBIZA MWENGE KITAIFA MARA BAADA YA KUFUNGUA BOHARI NDOGO YA DAWA HALMASHAURI YA WILAYA YA HANDENI
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TASAF
  • Fursa za Uwekezaji

Kurasa Mashuhuri

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Tume ya Ajira
  • Ikulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bomani Handeni

    Postal Address: 355 Handeni

    Telephone: 0272977402

    Mobile: 0755651840

    Email: ded@handenidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Handeni . Haki zote zimehifadhiwa