NAMNA YA KUPATA KIBALI CHA MATANGAZO (PUBLIC ANNOUNCEMENT)
1. KUFIKA OFISI YA UTAMADUNI YA WILAYA YA HANDENI KUPATA MAELEKEZO YA KIASI CHA FEDHA YA MATANGAZO YANAYOENDA KUFANYIKA.
2. KWENDA KWA MHASIBU KUPATA KIBALI CHA KWENDA KULIPIA BENKI.
3. HATI YA MALIPO INARUDISHWA KWA MHASIBU WA MALIPO.
4. KUPEWA RISITI NA MHASIBU WA MALIPO.
5. KWENDA OFISI YA UTAMADUNI KUPEWA KIBALI CHA KUFANYA MATANGAZO.
Bomani Handeni
Postal Address: 355 Handeni
Telephone: 0272977402
Mobile: 0755651840
Email: ded@handenidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Handeni . Haki zote zimehifadhiwa