• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Handeni District Council
Handeni District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na Vijana
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Mazingira na Udhibiti taka ngumu
    • Vitengo
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ardhi na Maliasili
    • Kilimo Umwagiliaji na Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Utamaduni na Utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
    • Kilimo
    • Elimu
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maendeleo ya Jamii
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Mfuko wa Jimbo
    • Ratiba ya vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Jarida la Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

BARAZA LA MADIWANI LAKUFUNGA MWAKA LARIDHIA KWA PAMOJA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI KUJENGWA MKATA

Imerushwa: September 21st, 2018

Baraza la kufunga mwaka Handeni kwa pamoja limeridhia makao mkuu ya Halmashauri ya Wilaya kujengwa Mkata.

Vikao vya Baraza la madiwani vya kufunga maridhiano hayo yamekuja baada Mkuu wa Wilaya ya Handeni Mh.Godwin Gondwe kuliekeza Baraza hilo   maelekezo aliyoyatoa Naibu Waziri wa Tamisemi Mh. George Kakunda tarehe 17/08/2018 alipokuja katika ziara yake Mkoani Tanga kuhusu wapi hasa makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni kwa kupitia mapendekezo ya ngazi mbalimbali ikiwepo Baraza la madiwani ikizingatia kanuni, taratibu na sheria 

Mkuu wa Wilaya aliongeza kuwa baadhi ya vikao vimesahakaa kama Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi na Baraza kuu la Wilaya hivyo imebaki Baraza la Diwani.

Kwa upande Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni Bw.William Makufwe alisema kuwa ili Makao makuu ya Halmashauri yajengwe lazima izingatiwe suala la maelekezo ya Serikali, kuhalalisha vikao vinavyopaswa kukaa, uwepo wa taarifa ya kitaalamu iliyochanganua kwa kina, kutokuwepo na viashiria vya migogoro na maslahi mapana ya wananchi ikiwepo huduma za jamii pamoja na huduma za kiutawala.

Pia Mkurugenzi alitoa ufafanuzi kuwa vikao vya kisheria kujadili ni wapi  pawe makao makuu ya Halmashauri havijawahi kukaa tokea mwaka 2012, vikao hivyo ni pamoja na timu ya kitaalamu vya kuchambua kwa kina mahali panapofaa kwa mujibu wa sheria, hivyo aliwataka madiwani kutumia nafasi waliyopata vizuri kuchagua mahali panapofaa  kuwa makao makuu ya Halmashauri kwa kuzingatia maoni ya kitaalamu

Aidha utafiti ulifanyika katika miji midogo ambayo ni Mkata, Kabuku na Michungwani kwa lengo la kubaini eneo lipi hasa linafaa kujengwa Makao makuu ya Halmashauri kwa kuzingatia vigezo vinavyohitajika kama ukubwa wa maeneo au ardhi, uwepo wa huduma za kijamii, unafuu wa gharama wanayotumia wananchi kutoka maeneo mbalimbali kufika katika eneo la utawala, Idadi na msongamano wa watu na huduma za kiuchumi na kifedha.

 Utafiti huo uliofanyika kwa siku saba kuanzia tarehe 30/08/2018-07/10/2018 na kamati ikabaini kuwa mji mdogo wa Mkata unafaa kujengwa makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni kutokana na kuwa na ardhi ya kutosha ambapo una hekta 34513 na una msongamano mdogo wa watu ukilinganisha na ukubwa wa ardhi, zipo huduma za kifedha kama benki na SACCOS, huduma kijamii,pia unafikika kwa urahisi kwa wananchi wanatoka maeneo mbalimbali kwa gharama nafuu ukilinganisha na miji mingine

Wajumbe wa Baraza la Madiwani walipiga kura za wazi baada mwenyekiti wa kamati ya utafiti kusoma maoni ya kamati ya utafiti wa eneo la kujenga Makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni ambapo wajumbe 25 kati ya 26 walichagua mji mdogo wa Mkata kujengwa Makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni na mjumbe moja alipinga.

Kikao cha Baraza la kufunga mwaka kilifanyika kwa siku mbili tarehe 19-20/9/2018
  

Tangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HANDENI DC June 04, 2025
  • Angalia zote

Habari za sasa

  • HANDENI DC IMEFANYA KIKAO CHA BARAZA KWA ROBO YA NNE YA MWAKA 2023/2024

    August 12, 2024
  • WANAWAKE HANDENI WAMPONGEZI DKT. SAMIA

    August 09, 2024
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA TANGANYIKA

    August 06, 2024
  • KUPITIA MAPATO YA NDANI, HANDENI IMETEKELEZEKA MIRADI KEDEKEDE

    October 23, 2023
  • Angalia zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amalizia ujenzi wa zahanati ya Kijiji cha Kwedikwazu Mashariki.
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TASAF
  • Fursa za Uwekezaji

Kurasa Mashuhuri

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Tume ya Ajira
  • Ikulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Handeni . Haki zote zimehifadhiwa