• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Handeni District Council
Handeni District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na Vijana
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Mazingira na Udhibiti taka ngumu
    • Vitengo
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ardhi na Maliasili
    • Kilimo Umwagiliaji na Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Utamaduni na Utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
    • Kilimo
    • Elimu
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Jarida la Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Mkuu wa Wilaya Handeni akabidhi vyandarua kwa wananchi.

Imerushwa: December 28th, 2020

Mkuu wa Wilaya ya Handeni Mh. Toba Nguvila amezindua kampeni ya kudhibiti Malaria na kukabidhi vyandarua kwa wananchi wa wilaya ya Handeni pia ameipongeza Serikali kwa kuanzisha mpango wa kudhbiti Malaria na kutoa vyandarua bure kwa wananchi ili kujikinga na mbu waenezao ugonjwa wa Malaria kwani ndiyo ugonjwa unaongoza kwa  kuua watu wengi kwenye wilaya ya Handeni.

Mhe. Nguvila amekemea waliopewa vyandarua kwenda kutumia kwa kujikinga na mbu sio kwenda kufugia kuku na kama kunamtu anampango wa kubadilisha matumizi sheria kali zitachukuliwa dhidi yake.

Kwakumalizia mkuu wa wilaya ameahidi kutoa kompyuta 20 kwa shule ya sekondari Ndolwa ili wanafunzi wajifunze kwavitendo.

Kwaupande wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni Bw. William Makufwe ameishukuru selikari kwa kuanzisha mpango wa kudhibiti Malaria na kutoa vyandarua bure kwa wananchi.

Bw. Makufwe  amesema maambukizi ya ugonjwa wa Malaria kwa halmashauri ya wilaya ya Handeni bado ni mkubwa kwani kila watu mia moja, watu sitini na mbili wanamaambukizi ya ugonjwa wa Malaria hivyo kupitia mpango huu asilimia tisini na moja (91%) ya wakazi wa Handeni vijijini watapata vyandarua bure kwaajili ya kujikinga na mbu waenezao ugonjwa wa Malaria.

 Kwakumalizia Bw. Makufwe amesema kuwa kila watu mia moja watu tisini na moja watapata vyandarua na kuongeza kusema kuwa Handeni tumejipanga kupambana na malaria kwavitendo.

Mkuu wa Wilaya ya Handeni Mhe. Toba Nguvila aliyesimama, akiongea kwenye uzinduzi huo.

Mkuu wa wilaya ya Handeni Mhe. Nguvila kushoto akimkabidhi vyandarua mwananchi kulia.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni Bw. William Makufwe aliyevaa shati jeupe akitoa ufafanuzi kwenye uzinduzi huo.

Mganga mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni Dkt. Ipyana Mwandelile akitoa taarifa ya hali ya ugonjwa wa Malaria kwenye Halmashauri ya Handeni.

Baadhi ya wananchi waliojitokeza kwenye uzinduzi huo.

Vyandarua vilivyotolewa na Selikari vikiwa tayari kwa kutolewa kwa wananchi.



Tangazo

  • Tangazo la Kuitwa Kazini June 15, 2018
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA SHULE ZA SEKONDARI HANDENI VIJIJINI 2021 December 17, 2020
  • Kuitwa Kwenye Usaili June 04 2018 May 30, 2018
  • Matokeo ya Darasa la Saba Shule ya kwanza hadi ya mwisho December 28, 2018
  • Angalia zote

Habari za sasa

  • Kamati ya Fedha, Uchumi na Mipango yafanya ziara ya kukagua miradi inayotekelezwa na Halmashauri.

    February 10, 2021
  • Mkuu wa Wilaya Handeni akabidhi vyandarua kwa wananchi.

    December 28, 2020
  • Mkuu wa Wilaya ya Handeni afanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo.

    September 30, 2020
  • Katibu tawala afungua siku ya mkulima Handeni

    September 24, 2020
  • Angalia zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

ALIYOZUNGUMZA MKIMBIZA MWENGE KITAIFA MARA BAADA YA KUFUNGUA BOHARI NDOGO YA DAWA HALMASHAURI YA WILAYA YA HANDENI
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TASAF
  • Fursa za Uwekezaji

Kurasa Mashuhuri

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Tume ya Ajira
  • Ikulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bomani Handeni

    Postal Address: 355 Handeni

    Telephone: 0272977402

    Mobile: 0755651840

    Email: ded@handenidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Handeni . Haki zote zimehifadhiwa