• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Handeni District Council
Handeni District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na Vijana
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Mazingira na Udhibiti taka ngumu
    • Vitengo
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ardhi na Maliasili
    • Kilimo Umwagiliaji na Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Utamaduni na Utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
    • Kilimo
    • Elimu
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maendeleo ya Jamii
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Mfuko wa Jimbo
    • Ratiba ya vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Jarida la Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Wadau waunga mkono juhudi za Serikali za kupiga vita dhidi ya Korona (COVID 19)

Imerushwa: May 15th, 2020


Shirika la kiraia la Hope 4 young girls (Tumaini kwa watoto wa kike) ambayo makao makuu yake yako Dar es Saam lakabidhi vifaa mbalimbali vya kujikinga na ugonjwa hatari wa Korona (COVID 19) kwa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni vyenye thamani ya shilingi milioni tisa (9,000,000) ambapo zoezi lilifanyika kwa siku nne kuanzia tarehe 11-14/05/2020 katika ya Kata za Kwaluguru, Kwankonje, Kang’ata, Mazingara,Mkata, Misima, Sindeni , Kwamatuku na Makao makuu ya Halmashauri. Vifaa hivyo ni pamoja na ndoo za kuwekea maji 150, sabuni za maji boksi 5, vitakasa mikono boksi 7, mabango yanayotoa elimu kuhusu ugonjwa wa Korona (COVID19) 30 na kinga (gloves) boksi 20.

Akipokea vifaa hivyo Bi. Fatuma Kalovya kwaniaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni amewashukuru shirika hilo kwa kumuunga mkono Mh. Rais kwenye juhudi za kupambana na korona (COVID 19)  na kwa kuichagua Handeni kuja kutoa msaada huo wa vifaa na kuwahakikishia kuwa vifaa hivyo vitaenda kutumika vizuri na wananchi kwani  wanauhitaji mkubwa wa vifaa hivyo ili kuweza kujikinga na ugonjwa huo.

 Bi Fatuma Kalovya Ametoa wito kwa wadau kuwa pamoja na Kata walizolenga kugawa vifaa hivyo pia wazikumbuke Kata za Kabuku na Segera kwa kuwa ziko barabara kuu na zina mwingiliano mkubwa wa watu kutoka sehemu mbalimbali.

 Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la Hope 4 young girls(Tumaini kwa watoto wa kike) Bi. Salama Kikudo amesema kuwa wao ni wadau wa kutetea haki za watoto wa kike na kutoa elimu dhidi ya mimba za utotoni  lakini wameamua kuja kutoa vifaa vya kujikinga na ugonjwa hatari wa Korona (COVID19).

Tangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HANDENI DC June 04, 2025
  • Angalia zote

Habari za sasa

  • HANDENI DC IMEFANYA KIKAO CHA BARAZA KWA ROBO YA NNE YA MWAKA 2023/2024

    August 12, 2024
  • WANAWAKE HANDENI WAMPONGEZI DKT. SAMIA

    August 09, 2024
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA TANGANYIKA

    August 06, 2024
  • KUPITIA MAPATO YA NDANI, HANDENI IMETEKELEZEKA MIRADI KEDEKEDE

    October 23, 2023
  • Angalia zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amalizia ujenzi wa zahanati ya Kijiji cha Kwedikwazu Mashariki.
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TASAF
  • Fursa za Uwekezaji

Kurasa Mashuhuri

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Tume ya Ajira
  • Ikulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Handeni . Haki zote zimehifadhiwa