Alianza siasa mwaka 2009 na kuchaguliwa kuwa diwani wa Kata ya Kwamatuku mwaka 2010, Mwaka 2015 akachaguliwa kuwa makamu Mwenyekiti wa Halmashauri hadi mwaka mwaka 2018.
mwaka 2019 januari alichaguliwa rasmi kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri hadi sasa.
Malengo yake kwa Halmashauri.
Kuvuka lengo la ukusanyaji wa mapato ya ndani ya Halmashauri
Kusimamia vipaumbele vya mazao ya kimakakati ya Halmashauri ikiwepo korosho na mihogo ili kufikia lengo la Handeni la kijani ya Viwanda.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Handeni . Haki zote zimehifadhiwa