Utangulizi
Zipo aina mbili za choroko ambazo ni Imara na Nuru hukomaa kwa muda wa siku 55-65. Aidha imara ni nene kuliko nuru lakini nuru inang’ara zaidi ya imara.
Utayarishaji wa shamba
Shamba ni budi litayarishwe mapema kwa mujibu wa kalenda ya kilimo na pia litifuliwe kwa kina cha wastani.
kwa maelezo zaidi soma hapa.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Handeni . Haki zote zimehifadhiwa