Mbaazi za muda mfupi hukomaa kati ya siku 120 hadi 125 katika maeneo ya Morogoro, Tanga, Pwani, na Dar es Salaam. Mbaazi hizi hukomaa kwa siku 120 tu. Katika ukanda wa juu kwenye baridi, mbaazi za muda mfupi hukomaa kwa muda mrefu zaidi ya siku 120. Mbaazi za kienyeji hukomaa kati ya siku 210 hadi 270. Mbaazi za muda mfupi hutoa mazao mengi zaidi ya zile za kienyeji iwapo zitalimwa kwa kuzingatia maelezo yaliyomo humu.
kwa maelezo zaidi soma hapa.
Handeni
Postal Address: 355 Handeni
Telephone: 0272977402
Mobile:
Email: ded@handenidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Handeni . Haki zote zimehifadhiwa