Utangulizi
Zao la mihogo ni muhimu hapa wilayani na huzalishwa karibu katika kata zote. Hata hivyo wakulima wengi bado wanatumia mbegu za asili ambazo hutoa mavuno kidogo. Jitihada zinafanywa za kusisitiza matumizi ya aina ya kisasa hususan Kiroba ambayo inaukinzani na ugonjwa wa mihogo uitwao batobato.
Faida ya zao hili ni kwamba hustahmili ukame, mizizi, miti na majani hutumika kwa chakula mbegu na mboga, pia huweza kukaa ardhini kwa muda mrefu bila kuharibika
kwa maelezo zaidi soma hapa.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Handeni . Haki zote zimehifadhiwa