IDARA YA MAENDELEO YA JAMII
KUSAJILI KIKUNDI CHA UJASIRIAMALI.
TARATIBU ZA KUFUATA NA VIAMBATA.
1. KIKUNDI KIWE NA KATIBA YA KIKUNDI.
2. KUWEPO NA BARUA YA MAOMBI YA KUSAJILI KIKUNDI INAYOANDIKWA KWENDA KWA MKURUGENZI WA HALMASHAURI IKIWA IMEPITISHWA NA MTENDAJI WA KIJIJI.
3. KUWEPO NA MUHTASARI ULIOJADILIWA KUSAJILI KIKUNDI.
4. KULIPIA ADA YA USAJILI BENKI.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Handeni . Haki zote zimehifadhiwa