• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Handeni District Council
Handeni District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na Vijana
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Mazingira na Udhibiti taka ngumu
    • Vitengo
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ardhi na Maliasili
    • Kilimo Umwagiliaji na Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Utamaduni na Utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
    • Kilimo
    • Elimu
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maendeleo ya Jamii
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Mfuko wa Jimbo
    • Ratiba ya vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Jarida la Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Benki ya NMB yaunga mkono juhudi za seriakali ya awamu ya tano ya elimu bila malipo Handeni

Imerushwa: December 11th, 2019


Benki ya NMB kanda ya kaskazini imetoa viti na meza 50 leo kwa shule ya Sekondari Kisaza iliyoko Kata ya Komkonga, Halmashauri ya Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga.

Akitoa shukrani kwa wadau hao wa elimu Mkuu wa Wilaya ya Handeni Mh. Godwin Gondwe  amesema benki ya NMB imekuwa mstari wa mbele kurudisha fadhila kwa jamii kwa kusaidia sekta mbalimbali ikiwepo elimu na Afya katika Wilaya ya Handeni hivyo amewashukuru na kuwapongeza kwa kuona umuhimu wa kuchangia juhudi za Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. John Pombe Magufuli.

Mh.Gondwe pia amewapongeza wazazi kwa kuchangia nguvukazi katika ujenzi wa madarasa ambapo amesema hawakusita wakati wowote walipohitajika kuongeza nguvukazi hasa katika kazi za misaragambo ya kuchimba misingi za madarasa na kusomba mawe.

Alihitimisha kwa kuwasihi wazazi kuwalinda na kufuatilia mienendo ya watoto wao ili waweze kufikia malengo yao na amesema kwa pamoja wanaweza kutokomeza mimba za utoro wa rejareja kwa wanafunzi, pia amewataka wakuu wa shule kuhakikisha wanayatunza viti na meza hizo ili viweze kutumika muda mrefu,

Meneja wa NMB kanda ya kaskazini Bi Acencia Muro amesema viti na meza 50 vilivyotolewa vimegharimu kiasi cha shilingi milioni 5 ambapo ni sehemu ya ushiriki wa benki ya NMB kwa jamii ambayo ushiriki huo hufanyika kila mwaka ili kushirikiana na serikali kwenye sekta  muhimu hasa elimu na afya ili kutatua changamoto za jamii inayowazunguka.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni Bw.William Makufwe amesema lengo la kuleta viti na meza hivyo katika shule ya Sekondari Kisaza ni kwa sababu ni shule iliyoanzisha kidato cha tano na sita hivyo vitasaidia sana kupunguza uhaba mkubwa uliopo kwa madarasa hayo na amesema  madawati ni  nyenzo muhimu sana kwa wanafunzi kujifunza.

Aidha amesema wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza kwa mwaka 2020 ni 4,636 hivyo amewaomba wananchi kuwa wasichoke kuchangia ujenzi wa madarasa ili wanafunzi hao waweze kupata madarasa ya kutosha ya kujisomea huku akiwahimiza wazazi kuwapeleka wanafunzi ambao hawakupata nafasi ya kujiunga na kidato cha kwanza  katika vyuo vya ufundi ili wasiweze kujifunza fani mbalimbali kuliko kukaa manyumbani.

Mkuu wa Shule ya Sekondari Kisaza Bw.Leornard Mshana amesema anaishukuru sana Benki ya NMB kwa kuwapatia viti na meza hamsini ambapo alisema wanafunzi wa kidato cha tano  waliopokelewa mwezi septemba wako 50 mchepuo wa CBG 25 na HGK 25 hivyo madawati hayo yatagawiwa katika vyumba viwili madarasa ya michepuo hiyo.

MWISHO.

Imeandaliwa na;

Paulina John

Kitengo cha Habari na mawasiliano Handeni DC

Mkuu wa Wilaya ya Handeni Mh.Godwin Gondwe wa tatu kutoka kulia akipokea madawati kutoka kwa meneja NMB kanda kaskazini wa pili kushoto

Mkurugenzi wa Handeni Vijijini Bw. William Makufwe akizungumza katika mapokezi ya madawati kutoka kwa NMB

Meneja NMB kanda ya kaskazini Bi. Acencia Muro akizungumza

Mkuu wa Shule ya Sekondari Kisaza Bw.Leornard Mshana akitoa shukrani baada ya kukabidhiwa madawati

Wanafunzi wakifurahia madawati waliokabidhiwa

Wazazi nao walikuja kupokea  madawati kwaajili ya watoto wao






















Tangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO KWA WALIOFAULU USAILI KATIKA NAFASI ZA MWENDESHAJI WA KIFAA CHA BAYOMETRIKI NA AFISA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI February 20, 2025
  • Angalia zote

Habari za sasa

  • HANDENI DC IMEFANYA KIKAO CHA BARAZA KWA ROBO YA NNE YA MWAKA 2023/2024

    August 12, 2024
  • WANAWAKE HANDENI WAMPONGEZI DKT. SAMIA

    August 09, 2024
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA TANGANYIKA

    August 06, 2024
  • KUPITIA MAPATO YA NDANI, HANDENI IMETEKELEZEKA MIRADI KEDEKEDE

    October 23, 2023
  • Angalia zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amalizia ujenzi wa zahanati ya Kijiji cha Kwedikwazu Mashariki.
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TASAF
  • Fursa za Uwekezaji

Kurasa Mashuhuri

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Tume ya Ajira
  • Ikulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Handeni . Haki zote zimehifadhiwa