• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Handeni District Council
Handeni District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na Vijana
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Mazingira na Udhibiti taka ngumu
    • Vitengo
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ardhi na Maliasili
    • Kilimo Umwagiliaji na Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Utamaduni na Utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
    • Kilimo
    • Elimu
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maendeleo ya Jamii
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Mfuko wa Jimbo
    • Ratiba ya vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Jarida la Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

DED MAKUFWE ASALIMIA WATUMISHI HANDENI

Imerushwa: December 14th, 2022

Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya  Wilaya ya Handeni Ndugu William M. Makufwe ambaye kwa sasa ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Makete iliyopo Mkoa wa Njombe atembelea Halmashauri ya Handeni kwa ajili ya  kuwasalimia watumishi wa Handeni wakati akipita kutokea Mkoani Arusha Kurudi Mkoani Njombe.

Bwana Makufwe amefurahi kukutana na watumishi wa Handeni na amefaririjika kuona majengo aliyoyaacha yakiendelea kujengwa sasa yamekamilika na yanatumika pia amepata fursa ya kupanda mti wa matunda kwenye eneo la Makao Makuu ya Halmashauri ambayo ni muwasisi wa ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya Halmashauri ya Handeni linalotumika kwasasa.

Aidha Ndg. William Makufwe amempongeza Mkurugenzi Mtendaji waHalmashauri ya  Handeni pamoja na viongozi wa Handeni kwa usimamizi  mzuri wa majengo ya Makoa makuu na ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ambapo  pia amewatakia utelekezaji mwema wa miradi yote inayoendelea kujengwa kwenye Halamshauri ya Handeni.

Afisa Rasilimali watu na Utawala wa Halmashauri ya Handeni Bw. Omary Mkangama amemshukuru Mkurugenzi huyo kwa kutembelea Handeni na kuendelea kujenga Uhusiano mwema  baina ya Handeni na Halmashauri ya Makete. 

Bw. Wiliam M. Makufwe akipanda mti kwenye eneo la Jengo la Makao Makuu ya Halmashauri.

Afisa Rasilimali watu na Utawala wa Halmashauri ya Handeni Ndg. Omary Mkangama akipanda mti wa matunda.


Tangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO KWA WALIOFAULU USAILI KATIKA NAFASI ZA MWENDESHAJI WA KIFAA CHA BAYOMETRIKI NA AFISA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI February 20, 2025
  • Angalia zote

Habari za sasa

  • HANDENI DC IMEFANYA KIKAO CHA BARAZA KWA ROBO YA NNE YA MWAKA 2023/2024

    August 12, 2024
  • WANAWAKE HANDENI WAMPONGEZI DKT. SAMIA

    August 09, 2024
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA TANGANYIKA

    August 06, 2024
  • KUPITIA MAPATO YA NDANI, HANDENI IMETEKELEZEKA MIRADI KEDEKEDE

    October 23, 2023
  • Angalia zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amalizia ujenzi wa zahanati ya Kijiji cha Kwedikwazu Mashariki.
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TASAF
  • Fursa za Uwekezaji

Kurasa Mashuhuri

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Tume ya Ajira
  • Ikulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Handeni . Haki zote zimehifadhiwa