• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Handeni District Council
Handeni District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na Vijana
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Mazingira na Udhibiti taka ngumu
    • Vitengo
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ardhi na Maliasili
    • Kilimo Umwagiliaji na Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Utamaduni na Utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
    • Kilimo
    • Elimu
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maendeleo ya Jamii
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Mfuko wa Jimbo
    • Ratiba ya vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Jarida la Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Handeni yatathmini Mkataba wa Lishe kwa robo ya nne

Imerushwa: July 21st, 2023

Halmshauri ya Wilaya ya Handeni imefanya kikao cha Tathmini ya Mkataba wa lishe  ili kupitia viashiria vyote vilivyopo katika Mkataba wa lishe vilivyotekelezwa kwa robo ya nne (April-June, 2022/2023.)

Akifungua kikao hicho Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni Bw. Saitoti Z. Stephen kwaniaba ya Mkuu wa Wilaya ya Handeni amewataka wajumbe wa kikao hicho kufahamu kuwa lishe ndiyo kila kitu na kwamba kikao hicho ni muhimu sana katika uboreshaji wa lishe katika Jamii ili kuondokana na udumavu.

Pia amepongeza utekelezaji wa afua za lishe na kuwataka Watendaji wa Kata kufanaya vikao na kutoa elimu  kuhusu lishe kwenye Kata zao na kuweka maazimio kuhusu utekelezaji wa afua za lishe na ili kufikia malengo

Aidha Mkurugenzi Mtendaji ametoa maelekezo kwa Watendaji wa Kata zote kuwa kuhakikisha wanasimamia shule zote zinatoa chakula na wanafunzi wote wanapata chakula cha Mchana wawapo shuleni.

Maafisa Watendaji wa Kata zote 21 za Halmashauri wamekubaliana kuendelea kusimamia na kufuatilia upatikanaji Lishe katika kata zao kwa kuzingatia vigezo vya Kitaifa kwa kuendelea kutoa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu wa lishe bora pamoja na madhara ya lishe duni.

BW. Saitoti Stephen, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya  Handeni.

Ndg. Omary Mkangama, Mkuu wa Idara ya Utawala na Rasilimali watu wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni.

Dkt. Kanansia Shoo, Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni.


Tangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO KWA WALIOFAULU USAILI KATIKA NAFASI ZA MWENDESHAJI WA KIFAA CHA BAYOMETRIKI NA AFISA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI February 20, 2025
  • Angalia zote

Habari za sasa

  • HANDENI DC IMEFANYA KIKAO CHA BARAZA KWA ROBO YA NNE YA MWAKA 2023/2024

    August 12, 2024
  • WANAWAKE HANDENI WAMPONGEZI DKT. SAMIA

    August 09, 2024
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA TANGANYIKA

    August 06, 2024
  • KUPITIA MAPATO YA NDANI, HANDENI IMETEKELEZEKA MIRADI KEDEKEDE

    October 23, 2023
  • Angalia zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amalizia ujenzi wa zahanati ya Kijiji cha Kwedikwazu Mashariki.
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TASAF
  • Fursa za Uwekezaji

Kurasa Mashuhuri

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Tume ya Ajira
  • Ikulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Handeni . Haki zote zimehifadhiwa