Tarafa ya Mzundu yaadhimisha Miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania kwa Mbio maalum kwa Kata za Kabuku na Kabuku Ndani, kisha kupanda miti kwenye shule ya Msingi Kabuku Mjini.
Mbio hizo Maalum zimeongozwa na Afisa Tarafa wa Tarafa ya Mzundu Bi. Elizabeth Mponda (picha ya kwanza Akipanda Mti)
Afisa Mtendaji wa Kata ya Kabuku Bi. Zuhura Sufian(Aliyevaa T-shirt nyeusi) na Afisa Mtendaji wa Kata ya Kabuku Ndani Bw. Nelson Sombe (Aliyevaa kofia nyekundu) ni miongoni mwa waliadhimisha Miaka 61 kwa kushirikii Mbio hizo.
"Amani na Umoja ni Nguzo ya Maendeleo Yetu"
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Handeni . Haki zote zimehifadhiwa