Kuadhimisha Miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania, Kata zote 21 za Halmashauri ya Wilaya ya Handeni zimeadhimisha kwenye maeneo Yao na kufanya shughuli mbalimbali.
Bw. Nepeleon Mlowe ambaye ni Mkuu wa Kitengo Cha Maliasili na Mazingira wa Halmashauri ya Handeni ambaye ni Mlezi wa Kata ya Komkonga, waliadhimisha maadhimisho hayo kwa kukutana na wananchi pamoja na wananfunzi wa shule ya Msingi Komkonga kwa lengo la kuweleweshana na kukumbushana umuhimu wa siku hii ya Uhuru.
"Amani na Umoja ni Nguzo ya Mandeleo yetu"
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Handeni . Haki zote zimehifadhiwa