Pango la kwamsaiva linaLopatikana Handeni, Kata ya Kwamsisi kwenye kijiji cha Kweidikabu ambalo lilitumiwa kujificha kipindi Cha Vita vya pili vya dunia