Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni Bw. William Makufwe upande wa kulia na Afisa Elimu Sekondari Bw. Simon Mdaki wapokea msaada wa matairi 14 ya magari, matairi 2 ya Lori na matairi 12 ya magari madogo Landcruiser . Matairi hayo yametolewa na kampuni ya Binslum ya Tanga lengo likiwa ni kuunga mkono shughuli za maendeleo na huduma bora zinazotolewa na Serikali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni.
Handeni
Postal Address: 355 Handeni
Telephone: 0272977402
Mobile:
Email: ded@handenidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Handeni . Haki zote zimehifadhiwa