• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Handeni District Council
Handeni District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na Vijana
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Mazingira na Udhibiti taka ngumu
    • Vitengo
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ardhi na Maliasili
    • Kilimo Umwagiliaji na Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Utamaduni na Utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
    • Kilimo
    • Elimu
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maendeleo ya Jamii
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Mfuko wa Jimbo
    • Ratiba ya vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Jarida la Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya handeni aongoza msaragambo

Imerushwa: April 1st, 2020

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni Bw. William Makufwe  jana ameongoza wafanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni pamoja na wananchi wa Mkata kufanya msaragambo wa kukarabati barabara inayotoka sheli ya Mogas kuelekea Mhalango zilipo ofisi za Halmashauri ya Wilaya Handeni.

Katika msaragambo huo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni amewashukuru wafanyakazi wa Halmashauri hiyo pamoja na wananchi waliojitokeza kwenye zoezi la kurekebisha barabara hiyo.

Pia Mkurugenzi Mtendaji Makufwe amesema wameamua kutenga siku maalumu kutoka ofisini na kwenda kushiriki shughuli za kimaendeleo kwenye jamii.

Ameongeza kuwa zoezi la kutoka ofisini kwenda kushiriki shughuli za maendeleo kwenye jamii itakuwa endelevu kwa Halmashauri yake  kwaajili ya maendeleo ya Taifa.

Kwaupande wa wafanayakazi wa Halamshauri ya Wilaya ya Handeni wameishukuru ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji kwa kuamua kuirekebisha barabara hiyo kwani ilikuwa ni changamoto kupita kwenda ofisini hasa kwa vyombo vya usafiri.

MWISHO.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (C.C.M) Wilaya ya Handeni Mh. Athumani Malunda mwenye tisheti ya kijani akishiriki msaragambo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Handeni Bw. William Makufwe aliyeshika chepe akitoa mchanga  kwenye mtaro.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halamashauri ya wilaya ya Handeni Bw. William Makufwe akipokea viroba vilivyojazwa mchanga.

Afisa uchaguzi Bw. Francis Mashalo akibeba viroba vya vifusi kwenye msaragambo huo.

Wafanyakazi wa Halmashauri walijitokeza kwa wingi kwenye msaragambo wa kukarabati barabara

Tangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO KWA WALIOFAULU USAILI KATIKA NAFASI ZA MWENDESHAJI WA KIFAA CHA BAYOMETRIKI NA AFISA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI February 20, 2025
  • Angalia zote

Habari za sasa

  • HANDENI DC IMEFANYA KIKAO CHA BARAZA KWA ROBO YA NNE YA MWAKA 2023/2024

    August 12, 2024
  • WANAWAKE HANDENI WAMPONGEZI DKT. SAMIA

    August 09, 2024
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA TANGANYIKA

    August 06, 2024
  • KUPITIA MAPATO YA NDANI, HANDENI IMETEKELEZEKA MIRADI KEDEKEDE

    October 23, 2023
  • Angalia zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amalizia ujenzi wa zahanati ya Kijiji cha Kwedikwazu Mashariki.
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TASAF
  • Fursa za Uwekezaji

Kurasa Mashuhuri

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Tume ya Ajira
  • Ikulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Handeni . Haki zote zimehifadhiwa