• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Handeni District Council
Handeni District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na Vijana
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Mazingira na Udhibiti taka ngumu
    • Vitengo
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ardhi na Maliasili
    • Kilimo Umwagiliaji na Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Utamaduni na Utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
    • Kilimo
    • Elimu
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maendeleo ya Jamii
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Mfuko wa Jimbo
    • Ratiba ya vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Jarida la Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

RASIMU NA MPANGO WA BAJETI KWA MWAKA WA FEDHA 2018/2019 WAPITISHWA NA BARAZA LA MADIWANI

Imerushwa: January 18th, 2018

Baraza la madiwani linalounda  Halmashauri ya Wilaya ya Handeni kwa pamoja limepitisha rasimu ya mpango na bajeti ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni kwa mwaka wa fedha 2018/2019 ambapo Halmashauri imekasimia kuwa na kiasi cha Tsh.49,787,608,984/=, ikiwa ni ongezeko kutoka Tsh.38,872,491,064/= kwa mwaka  2017/2018.

 Halmashauri ya Wilaya ya Handeni imekasimia kukusanya mapato ya ndani kiasi cha Tsh.2,196,374,052/=, Matumizi ya kawaida Tsh.2,009,206,000/=, Bajeti ya miradi ya maendeleo inatarajiwa kuwa na jumla ya Tsh.5,838,831,132/= na Mishahara inakisiwa kuwa na jumla ya Tsh.39,743,197,800/=.


 Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni Mh.Ramadhani Diliwa amesisitiza ukusanyaji wa mapato ya ndani huku akieleza kuwa, ruzuku kutoka Serikali kuu hazifiki kwa wakati na Kwa asilimia iliyoombwa kutokana na Serikali kuwa na miradi mingi ambayo ni mikubwa inayotekelezwa kwa manufaa ya Nchi.

 Ameitaka ofisi ya Mkurugenzi na timu ya mapato kuhakikisha wanafanya kazi kwa weredi katika kuhakikisha vifungu vilivyotengwa  vinakusanywa vizuri huku akisisitiza usimamizi wa urejeshwaji wa vitabu vya mapato kwa wakati ili kuepuka ubadhilifu fedha.

 Aidha amewaomba  Waheshimiwa Madiwani kuhakikisha wanaendeleza umoja wa kushiriki kwenye suala zima la ukusanyaji wa mapato ya ndani  kwasababu manufaa ya kukusanya mapato pasipo kutumia mawakala yameonekana tayari kwamwaka wa fedha 2017/2018, hivyo washiriki kikamilifu ili kutimiza malengo ya Halmashuri.

 Baraza la madiwani la kupitia na kupitisha rasimu ya mpango na bajeti kwa mwaka wa fedha 2018/2019 limefanyika kwa sikumbili kuanzia tarehe 16-17/01/2017.


Image may contain: one or more people, people sitting and indoor

Image may contain: 2 people, people sitting and table

Image may contain: 1 person, sitting

  Image may contain: 1 person, sitting

Image may contain: 2 people, people sitting, table and food 











LikeShow More ReactionsCommentShare


Tangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO KWA WALIOFAULU USAILI KATIKA NAFASI ZA MWENDESHAJI WA KIFAA CHA BAYOMETRIKI NA AFISA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI February 20, 2025
  • Angalia zote

Habari za sasa

  • HANDENI DC IMEFANYA KIKAO CHA BARAZA KWA ROBO YA NNE YA MWAKA 2023/2024

    August 12, 2024
  • WANAWAKE HANDENI WAMPONGEZI DKT. SAMIA

    August 09, 2024
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA TANGANYIKA

    August 06, 2024
  • KUPITIA MAPATO YA NDANI, HANDENI IMETEKELEZEKA MIRADI KEDEKEDE

    October 23, 2023
  • Angalia zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amalizia ujenzi wa zahanati ya Kijiji cha Kwedikwazu Mashariki.
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TASAF
  • Fursa za Uwekezaji

Kurasa Mashuhuri

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Tume ya Ajira
  • Ikulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Handeni . Haki zote zimehifadhiwa