Mkuu wa TAKUKURU Wilaya ya Handeni Bi. Esta Mulima akitoa mada ya Madhara na athari za Rushwa kwa Viongozi na watumishi wa Umma kwenye Semina ya Maadili kwa Viongozi iliyofanyika mapema mwezi uliopita kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni iliyohusisha Waheshimiwa Maadiwani na Wakuu wa Idara..
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Handeni . Haki zote zimehifadhiwa