Ujenzi wa Majengo ya Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni upo kwenye Hatua za Mwisho kukamilika ili wananchi waweze kupata Huduma kwenye Hospitali hiyo.
Asante Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassani kwa kujali afya za wananchi wa Handeni na Tanzania kwa ujumla.
“HANDENI KUMENOGA, MIUNDOMBINU YA AFYA IMEBORESHWA”
Handeni
Postal Address: 355 Handeni
Telephone: 0272977402
Mobile: 0759760156
Email: ded@handenidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Handeni . Haki zote zimehifadhiwa