• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Handeni District Council
Handeni District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na Vijana
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Mazingira na Udhibiti taka ngumu
    • Vitengo
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ardhi na Maliasili
    • Kilimo Umwagiliaji na Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Utamaduni na Utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
    • Kilimo
    • Elimu
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maendeleo ya Jamii
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Mfuko wa Jimbo
    • Ratiba ya vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Jarida la Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WAFANYAKAZI WILAYANI HANDENI WAMEUNGANA NA WAFANYAKAZI ULIMWENGUNI KOTE KUADHIMISHA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI.

Imerushwa: May 2nd, 2017

Wafanyakazi Wilayani Handeni wameungana na wafanyakazi ulimwenguni kote kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani katika Viwanja vya Chanika mjini Handeni.

Mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Handeni aliyewakilishwa na Katibu Tawala Wilaya ya Handeni, John Mahali aliwataka Wakurugenzi wa Halmashauri na Waajiri wote Wilayani Handeni kuweka utaratibu mzuri wa:-

  • kuandaa vitambulisho vya wafanyakazi vitakavyokuwa na mihuri ya Halmashauri husika na taasisi zote na nembo ili kuzuia wafanyakazi kutokujitengenezea vitambulisho kiholela.
  • Waajiri kuhakikisha wanaandaa na kutunza nyaraka za wafanyakazi ikiwa ni pamoja na barua za ajira, kupanda vyeo na barua za kuthibithishwa kazini na kuwapatia nakala husika wafanyakazi.
  • Vyama vya wafanyakazi kushirikishwa katika michango ya maendeleo inayochangishwa kwa wafanyakazi kuweka utaratibu unaoeleweka.
  • Halmashauri ya Wilaya ya Handeni na vyama vya wafanyakazi kushughulikia suala la ucheleweshaji wa mafao ya watumishi baada ya kustaafu.
  • Wafanyakazi kutumia bima ya afya kuchunguza afya zao mara kwa mara.
  • Zawadi kwa wafanyakazi bora kutolewa mapema.

Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi mwaka 2017, yaliongoza na kauli mbiu isemayo “Uchumi wa Viwanda uzingatie kulinda Haki, Maslahi na Heshima ya Wafanyakazi”. Maadhimisho hayo yalihusisha Halmashauri mbili za Wilaya ya Handeni na Mji wa Handeni .


wafanyakazi wakiwa kwenye maandamano yaliyoanzia makao makuu ya Wilaya ya Handeni kuelekea uwanja wa chanika uliopo Halmashauri ya Mji Handeni.

meza kuu ikiongozwa na Katibu tawala Wilaya wa kwanza kushoto Bw. John Mahali akifuatiwa na Kaimu Mkurugenzi Wilaya Bw. Simon Mdaki na kamati ya ulinzi na usalama.


baadhi ya wafanyakazi walioshiriki maadhimisho hayo


Katibu Tawala Wilaya Bw. John Mahali akizungumza na wafanyakazi.


viongozi wakiwa tayari kutoa zawadi kwa wafanyakazi bora wa 2017 wakiongozwa na mgeni rasmi Bw. John Mahali mwenye suti nyeusi akifuatiwa na kaimu wakurugenzi wa Handeni Vijijini na Mji.


Afisa mifugo Wilaya ya Handeni akipokea zawadi ya cheti.


wafanyakazi wakiburudika kwa kucheza.

Tangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO KWA WALIOFAULU USAILI KATIKA NAFASI ZA MWENDESHAJI WA KIFAA CHA BAYOMETRIKI NA AFISA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI February 20, 2025
  • Angalia zote

Habari za sasa

  • HANDENI DC IMEFANYA KIKAO CHA BARAZA KWA ROBO YA NNE YA MWAKA 2023/2024

    August 12, 2024
  • WANAWAKE HANDENI WAMPONGEZI DKT. SAMIA

    August 09, 2024
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA TANGANYIKA

    August 06, 2024
  • KUPITIA MAPATO YA NDANI, HANDENI IMETEKELEZEKA MIRADI KEDEKEDE

    October 23, 2023
  • Angalia zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amalizia ujenzi wa zahanati ya Kijiji cha Kwedikwazu Mashariki.
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TASAF
  • Fursa za Uwekezaji

Kurasa Mashuhuri

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Tume ya Ajira
  • Ikulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Handeni . Haki zote zimehifadhiwa