• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Handeni District Council
Handeni District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na Vijana
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Mazingira na Udhibiti taka ngumu
    • Vitengo
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ardhi na Maliasili
    • Kilimo Umwagiliaji na Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Utamaduni na Utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
    • Kilimo
    • Elimu
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maendeleo ya Jamii
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Mfuko wa Jimbo
    • Ratiba ya vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Jarida la Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WAHESHIMIWA MADIWANI WAMEFANYA UCHAGUZI WA MAKAMU MWENYEKITI NA WENYEVITI WA KAMATI ZINAZOUNDWA NA BARAZA.

Imerushwa: September 3rd, 2017

Waheshimiwa  Madiwani wanaounda Baraza la  Halmashauri ya Wilaya ya Handeni wamefanya uchaguzi  mdogo wa Makamu mweyekiti wa Halmashauri , Wenyeviti wa Kamati zinazoongozwa na Baraza na wajumbe wa kamati husika katika kutekeleza sheria, taratibu na kanuni.

Uchaguzi huo umefanyika mwishoni mwa wiki walipokuwa kwenye kikao cha Baraza la kufunga mwaka 2016/2017 kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni.

Aliyekuwa Makamu mwenyekiti wa Halmashauri ambaye amepata fursa ya kuchaguliwa tena kwa kura 25 kati ya kura 26 Mh. Abdalla Pendeza amewashukuru  Madiwani kwa kumwamini na kumpa tena nafasi ya kuongoza kama Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri na kwamba kama walivyoweza kupeleka mbele maendeleo ya Halmashauri vivyo hivyo watarajie muendelezo wake kwa Muhula huu mwingine.

Aidha amewaomba Madiwani kushirikiana kwa hali na mali ili kuhakikisha wananchi wanaowahudumia wanapata huduma stahiki, kwa wakati na weledi.

Kamati zilizochagua wenyeviti wao ni Kamati ya Huduma za Jamii ( Elimu, Afya na Maji) mwenyekiti wao ni Mh.David Matula, Mwenyekiti wa Kamati ya Ujenzi,Mazingira na Uchumi ni Mh.Joel Mabula, nafasi ya Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi imebaki kwa Mwenyekiti wa Halmashauri  Mh. Ramadhani Diliwa na Kamati ya  Ukimwi Mwenyekiti wake amebaki Mh. Abdalla Pendeza.

Tangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO KWA WALIOFAULU USAILI KATIKA NAFASI ZA MWENDESHAJI WA KIFAA CHA BAYOMETRIKI NA AFISA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI February 20, 2025
  • Angalia zote

Habari za sasa

  • HANDENI DC IMEFANYA KIKAO CHA BARAZA KWA ROBO YA NNE YA MWAKA 2023/2024

    August 12, 2024
  • WANAWAKE HANDENI WAMPONGEZI DKT. SAMIA

    August 09, 2024
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA TANGANYIKA

    August 06, 2024
  • KUPITIA MAPATO YA NDANI, HANDENI IMETEKELEZEKA MIRADI KEDEKEDE

    October 23, 2023
  • Angalia zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amalizia ujenzi wa zahanati ya Kijiji cha Kwedikwazu Mashariki.
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TASAF
  • Fursa za Uwekezaji

Kurasa Mashuhuri

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Tume ya Ajira
  • Ikulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Handeni . Haki zote zimehifadhiwa