Mhe. Mussa Ibrahimu Mwanyumbu ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni alichaguliwa rasmi kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri mwaka 2020 hadi sasa.
Malengo yake kwa Halmashauri.
1: Kuvuka lengo la ukusanyaji wa mapato ya ndani ya Halmashauri ili kuwezesha Halmashauri kujiendesha kwa kujitegemea kwa shughuli zake za ndani.
2: Kuboresha mfumo mzuri wa kiutendaji baina ya watendaji wa Halmashauri na wananchi tunaowahudumia.
3 :Kusimamia vipaumbele vya mazao ya kimakakati ya Halmashauri ikiwepo korosho na mihogo ili kufikia lengo la Handeni la kijani ya Viwanda.
Handeni
Postal Address: 355 Handeni
Telephone: 0272977402
Mobile:
Email: ded@handenidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Handeni . Haki zote zimehifadhiwa