Madarasa Manne Shule ya Sekondari Ndolwa.
Mradi huu ni wa kuboresha Elimu Sekondari yaani SEDP chini ya ufadhili wa World Bank ambapo kiasi cha Tsh. 281,464,810 kimetumika mpaka kumalizika kwa mradi. Ndolwa sekondari kumejengwa madarasa 4 na nyumba ya walimu yenye kaya 6 kwa pamoja.
Handeni
Postal Address: 355 Handeni
Telephone: 0272977402
Mobile:
Email: ded@handenidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Handeni . Haki zote zimehifadhiwa