MRADI WA MATUNDU 16 YA VYOO.
Mradi huu ulianza utekelezaji wake mapema Septemba 2016 na umemalizika machi 2017. mradi huu ni wakuboresha Elimu Sekondari SEDP Chini ya ufadhili wa World Bank. Mpaka ukamilifu wa mradi huu kiasi cha Tsh.30,350,190/= kimetumika.
Handeni
Postal Address: 355 Handeni
Telephone: 0272977402
Mobile: 0759760156
Email: ded@handenidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Handeni . Haki zote zimehifadhiwa