Imerushwa: April 27th, 2017
Halmashauri ya Wilaya ya Handeni imepokea miche 4000 ya mbegu za korosho kutoka bodi ya korosho ili kuunga mkono juhudi za Serikali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni ya kuanzisha korosho kama ...
Imerushwa: April 26th, 2017
Wananchi Wilayani Handeni wametakiwa kutilia mkazo suala la kuwapeleka watoto kupata chanjo mara zinapotangazwa ili kuendana na msemo wa kinga ni bora kuliko tiba.
Rai hiyo ilitolewa wa...
Imerushwa: April 21st, 2017
Halmashauri ya Wilaya ya Handeni imezindua jukwaa la uwezeshaji wanawake kiuchumi kwa wanawake wa Wilaya ya Handeni kwenye ukumbi wa maount Ilulu uliopo Kabuku mjini lenye ujumbe wa “Wezesha wan...