Imerushwa: December 9th, 2022
Kuadhimisha Miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania hii Leo, Afisa Mtendaji wa Kata ya Mkata Bi. Rukia Kizinga (Picha ya Kwanza) amewaongoza wananchi wa Kata ya Mkata kufanya usafi kwenye Kituo Cha Afya Mka...
Imerushwa: December 9th, 2022
Tarafa ya Mzundu yaadhimisha Miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania kwa Mbio maalum kwa Kata za Kabuku na Kabuku Ndani, kisha kupanda miti kwenye shule ya Msingi Kabuku Mjini.
Mbio hizo Maalum zimeongoz...
Imerushwa: December 8th, 2022
Kuelekea maadhimisho ya miaka 61 ya Uhuru, Halmashauri ya Wilaya ya Handeni imepanda miti ya Matunda na aina nyingine mbalimbali kwenye eneo la shule ya Msingi Kwedigunda.
Zoezi hilo la upand...