Imerushwa: December 1st, 2017
Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni wametakiwa kuchukua hatua stahiki ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya ukimwi kwani UKIMWI upo na maambukizi bado yapo.
...
Imerushwa: November 24th, 2017
Wazee wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni wamepatiwa kadi ya utambulisho wa waze na kuhamasishwa kujiandikisha kwaajili ya kupata kadi hizo ili kuweza kupata huduma ya matibabu bure kwa wazee.
&nbs...
Imerushwa: November 22nd, 2017
Mkuu wa Wilaya ya Handeni Mh.Godwin Gondwe ameagiza kuchukuliwa hatua za kisheria kwa viongozi wote wabadhilifu wa fedha zinazotolewa na serikali kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu kwan...