Imerushwa: March 17th, 2021
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni Bw. William Makufwe amezindua kiwanda cha kufyatulia tofali kinachomilikiwa na Halmashauri.
Bw. Makufwe ameishukuru timu ya ushauri ya Halmas...
Imerushwa: March 16th, 2021
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya miradi inayotekelezwa kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Handeni,.
Mama Samia Suluhu am...
Imerushwa: March 8th, 2021
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni Bw. William Makufwe ameipongeza serilikali ya awamu ya tano kwa kuleta amani na utulivu kwa Taifa, ameyasema hayo kwenye madhimisho ya sik...