Imerushwa: April 13th, 2018
Halmashauri ya Wilaya ya Handeni imepokea miche 140000 kutoka Bodi ya Korosho na kugawiwa kwa wananchi bure kama zao biashara ili wananchi waondokane na umaskini kwani kwa miaka mingi zao kuu kwa Hand...
Imerushwa: April 10th, 2018
Wawezeshaji wa Mpango wa (TASAF) wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni watafanyiwa mafunzo ya siku tano ambapo watafanyiwa mafunzo ya nadharia na vitendo kuhusu utaratibu wa uundaji wa vi...
Imerushwa: February 22nd, 2018
Uongozi wa Halmashauri ya Wilayaya Handeni umekabidhiwa rasmi mradi wa choo cha matundu sita kilichojengwa na shirika lisilo la Kiserikali CDMT(Community Development Mission of Tanzania) lenye thamani...