Imerushwa: June 4th, 2017
Wananchi Wilayani Handeni wametakiwa kutunza vizuri chakula katika kipindi hiki cha mavuno na kuwaepuka wafanyabiashara walaghai wanaotaka kununua mazao yao kwa bei ya chini.
Rai hiyo ilitole...
Imerushwa: June 1st, 2017
Vikundi vitano vya biashara vyawakilisha Halmashauri ya Wilaya ya Handeni kwenye maonesho ya biashara TAN-TRADE yanayofanyika mkoani Tanga.
Lengo LA maonesho hayo ni kuzitan...
Imerushwa: May 20th, 2017
Wanafunzi Wilayani Handeni wametakiwa kuichukulia michezo kuwa sehemu ya ajira rasmi kwa kuweka bidii zaidi katika michezo.
Rai hiyo ilitolewa na Diwani wa Kata ya Ndolwa na Mwenyekiti ...